Saturday, August 31, 2013

MAANDALIZI YA KILI MUSIC TOUR KIGOMA

 Mafundi wakitengeneza nguzo za jukwaa
 Kazi ya kufunga jukwaa na banner za kikwetu kwetu
 Hakuna shughuli bila sound ya maana, mtaalam kazini.
 Muonekano wa jukwaa la Kikwetu kwetu
 Mzigo ukiingizwa ndani kwa ajili ya watakaonunua tiketi za tamasha
 Eneo litakalotumika kugawa Kili za bure kwa watakaoingia uwanja Lake Tanganyika
 Nje ya uwanja tayari tiketi zimeanza kugombaniwa na wakazi wa Kigoma
Jukwaa litakalotumiwa na wasanii 12 mkoani Kigoma

No comments:

Post a Comment