Friday, August 30, 2013

MASTAR KIBAO WAJITOKEZA KUMUUNGA MKONODIAMOND PLATINUMZ AMZAWADIA GARI MUHIDIN GURUMO BAADA YA KUSTAAFU MUZIKI

22
Ray kigosi, JB,na Iren Uwoya
2Mzee  Muhidin Gurumo akimshukuru Diamond kwa kumzawadia gari jambo ambalo kwake ni kama ndoto kwakuwa amestaafu akiwa hana usafiri “Yaani sijui hata mke wangu nikimwambia atanielewaje manake ni jambo la kushangaza kwangu” Alisema mzee Gurumo Diamond akimuongoza mzee Gurumo kwenda kumuonyesha gari 5Diamond akimuonyesha Mzee Gurumo gari 6Akimuelekeza jambo baada ya mzee Gurumo kuingia kwenye gari  
  9Diamond na madansa wake wakitumbuiza katika hafla hiyo 10Wasanii mbalimbali pamoja na MaDJ walikuwepo katika hafla hiyo hapa ni Dully Sykes na MawanaFA wakiwa na baadhi ya MaDJ 11Maurice Njowoka kutoka Cocacola wa pili kutoka kushoto na Mwanamuziki AY wa tatu kutoka kushoto pamoja na wadau wengine wakiwa katika hafla hiyo 12 
Mwigizaji Jaquiline Wolper naye alitia timu  13Mkurugenzi wa ASET Asha Baraka akiwa na mama yake Diamond 15Wadau mbalimbali wakiwa katika hafla hiyo 16 17Mzee Gurumo akihojiwa na waandishi wa habari 18Hawa marafiki zangu wakakumbushia miaka kadhaa waliyofunga ndoa kwa kulishana mishikaki ilipendeza katikati ni Nancy Sumari akishuhudia 19Kulia ni Irene Uwoya kushoto Salma Msangi  20Kushoto AY na Salama Jabir wakipiga story na wadau mbalimbali 21
Thesuperstarstz inamuomba Mungu akuzidishie zaidi Diamond kwa kutambua mchango wa Gurumo katika tasnia ya muziki nchini.

No comments:

Post a Comment