Wednesday, August 28, 2013

MBABE ALIYEMCHANA CHUPA AUNT EZEKIELI NA KUCHANA VIWEMBE LULU MACHAEL HUYU HAPA 


Lile tukio la kusikitisha lililomtokea msanii wa bongo movie kupigwa chupa lililojiri juzi na kusababisha msanii huyo kuumia mkono kwa kuchanwa imefahamika rasmi aliyetenda jambo hilo.

Imefahamika kuwa aliyefanya hivyo ni dada mmoja aliyekuwa ni rafiki wa Ant ezekieli ambae baadae waligeuka maadui kwa sababu zilizoelezwa kuwa ni wivu wa kimapenzi,msichana huyo ni yule aliyemchana lulu viwembe sasa amegeuka na kumchana ant.

Mwanadada huyo aliyetamba kama video Quen katika nyimbo ya Ali kiba na chid benz far away amekuwa gumzo mjini baada ya kuwachana viwembe wenzake kwa kumchukulia waume zake

Akiongea na thesuperstarstz alisema yeye hana haja ya kugombea wanaume ila yeyote atakayeleta ujinga kwa namna yeyote ile basi watamalizana kivyovyote vile huku akisisitiza hili ni onyo kwa wote.

No comments:

Post a Comment