Wednesday, August 28, 2013

PICHA ZA RAY C AKIWA GYM KUJIFUA KUONDOA UBONGE

Akiwa mwenye afya tele na furaha sasa  mwanadadac Ray C anajifua vilivyo kurudisha mwili wake wa zamani baada ya kunenenepa sana.
Akiwa ametupia picha hizi katika mtandao wa Instagram zikimuonyesha yuko gym,mashabiki wake wengi wamemsifia kwa uamuzi huo maana wengi walihofia mwanadada huyo akirudi katika game na uzito alionao sifa ya kiuno bila mfupa inaweza kupotea.

No comments:

Post a Comment