Thursday, August 01, 2013

ROSE NDAUKA AKANUSHA STORY ZINAZOENDELEA ZA KUFUMANIWA AKIZINI MWEZI MTUKUFU

 Msanii mkali ndani ya bongo movie Rose ndauka wa maliki amefunguka muda mfupi na kukanusha habari zilizozagaa katika vyombo vya habari kuwa amefumaniwa akifanya mapenzi ndani ya mwezi mtukufu na kwamba kuna hofu juu ya ndowa yao na mchumba wake maliki bandawe.

Muda mfupi Rose ameandika katika facebook yake kuwa huu ni upuuzi na kuwaomba radhi mashabiki wake kwakukwazwa na habari ambayo si ya kweli

HIVI NDIVYO ALIVYOANDIKA NA HAYA NDIO  MAONI YA MASHABIKI WAKE
 
Rose Ndauka via Malick Bandawe
huu upuuzi wa magazeti samahanini mashabiki zangu kwa kuwakwaza na hii si kweli kabisa

 • Ommary Mussa likes this.
 • De Couleur Dotto wamezidi hao
  18 minutes ago via mobile · Like · 1

 • De Couleur Dotto magazeti ya udaku ya mezidi jamani
  17 minutes ago via mobile · Like · 1
 • Ommary Mussa Hata usijali tusha wazoea!!nawao ndo wanavyo pata rizki dadangu....just do wat best 4u and ure funz!!!nice time.
  12 minutes ago via mobile · Like · 1
 • Rose Ndauka nashkuru kwa kuwa nyie ndio mnaoweza kunifariji kila siku
  12 minutes ago · Like

1 comment:

 1. Aende zake huko,anakana nini wakati picha zinaonyesha ni yeye? amekosa adabu kabisa,wala akili maana alishachumbiwa anaenda kumvulia chupi kijana mdogo kama vile.Nilikuwa namwona wa maana kumbe ni kichangu tu.Kumbe maziwa yamekuwa makubwa kwa ajili ya uhuni....Pumbaaaaavu..

  ReplyDelete