Thursday, August 29, 2013

TAZAMA PICHA ZA KAMPUNI YA J-FILM 4 LIFE IKIFANYA SHOOTING YA FILAMU MPYA YA "JICHO LANGU" MAENEO YA SINZA MAKABURINI

Kampuni ya J-Film 4 Life kwa mara nyingine inakuletea filamu mpya yenye viwango vya kimataifa kwa "quality"  na ujumbe. Hapa ninakuletea picha wakati shuting hiyo ilipofanyika maeneo ya sinza makaburi hapa hapa jijini Dar es Salaam. Scene iliyokuwa ikichezwa inahusiana na msiba uliotokea wa mama mmoja aliyefiwa na watoto wake watano pamoja na mume wake siku moja kwenye ajari. 

Katika movie hii utajifunza mengi  sana na mwisho wa siku utaelimishwa na kufundishwa.  

Baadhi ya wahusika waliocheza katika scene hii ni wanachuo kutoka katika chuo cha filamu Tanzania TFTC FOUNDATION chini ya Mkurugenzi wao Pastor Emanuel Myamba.

Mkurugenzi wa J-Film 4 Life akipata chakula kabla ya kuanza zoezi la shooting
Crew wakiwa busy na maandalizi ya shooting
Watu wakielekea makaburi tayari kwa shooting....!!!


Mkurugenzi wa J-Film 4 Life Jennifer Kyaka (ODAMA) akiongoza na mdogo wake Joan Kyaka ambaye ni mshauri wa kampuni ya J-Film 4 Life....!!!!
Mkurugenzi wa J-Film 4 Life Jennifer Kyaka (ODAMA) akihakikisha mambo yanaenda sawa kabla ya shooting kuanza.....!!!!!
Kushoto ni mtu wa make-up, Ashura na kulia ni dada aliyehusika katika uimbaji...!!!
Wa kwanza kushoto ni Director wa J-Film 4 Life, Lamata na wa tatu ni Camera man Farid Uwezo wakisubiria kuanza shooting....!!!


Kutoka kulia ni Davi, Odama na kushoto ni GaboNeema ambaye amecheza kama mdogo wa Odama katika  movie hii ya Jicho Langu.....!!!


Abdul ambaye anahusika na maswala ya  sauti akiwa na mtu wa make up Ashura.......!!!!!


KAZI YA SHOOTING ILIANZA.......!!!!!
 
 
Hapa ni crew  ya J-FILM 4 LIFE Wakijiandaa kwa shooting

No comments:

Post a Comment