Wednesday, August 28, 2013

UZINDUZI WA FOOLISH AGE YA LULU PATAKUWA HAPATOSHI MLIMANI CITY

Yule mwanadada kinara katka filamu za bongo asiyeishiwa vituka elizabeth machael alimaarufu kwa jina la lulu baada ya kutoka jela mapema mwakaa huu ameandaa filamu inayokwenda kwa jina la FOOLSH AGE na baada ya kuhakikiwa na kupitisha na bodi ya ukaguzi wa filamu tanzania sasa itazinduliwa rasim pale mlimani city  kwa kiingilio cha sh. 30000/= tu....... Itakuwa tarehe 30/08/2013

Akiongea na thesuperstarstz msanii huyo mwenye makeke haswa akiwa mbele ya camera amesema filamu hiyo ni ya kipekee kwani amejaribu kuonyesha kile alichokuwa akikifanya na jinsi alivyokuwa anakosea hivyo amewaomba watanzania na wapenzi wa filamu zake kumuunga mkono hiyo siku ili kumpa moyo wa kile anachokifanya uzinduzi huo utasindikizwa na lad jay dee na bendi yake ya machozi bendi.

No comments:

Post a Comment