Friday, September 20, 2013

AGNES MASOGANGE NA MWENZIE MELISA WAACHIWA HURU KWA DHAMANA HUKO AFRIKA YA KUSINI

http://sundayshomari.files.wordpress.com/2013/07/agnesgerardmasogange.jpgWatanzania waliokuwa wameshikiliwa huko Afrika ya kusini Agnes masogange na melisa Edwad wameachiwa huru kwa dhamana ila kwa mashariti ya kutokutoka nnje ya Afrika ya kusini.

Akizungumza na thesuperstarstz mmoja wa marafiki wa masogange kwa sharti ya kutokutajwa jina lake amesema ni kweli wameachiwa huru na sasa wapo  hapa na hataruhusiwa kutoka hadi kesi yao iishe.

Akizungumza jiji dar es salaam kamanda wa kikosi  cha kupambana na dawa za kulevya kamanda nzowa amesema kwa upande wake yeye  anasikia tu kwamba wameachiwa ila hajapata taarifa kamili kutoka Afrika ya kusini na bado anafuatilia kuona kama ni kweli.

No comments:

Post a Comment