Sunday, September 08, 2013

AIBU!! MWANAMKE AVUA NGUO HADHARANI ILI APIGANE NA BOYFRIEND WAKE ALIYESIKIA ANATEMBEA NA DADA YAKE....!!

Msichana huyu pichani alishuka kwenye kimin bus na kuanza kupigana na boyfriend wake. Yani alifikia hadi hatua ya kuvua nguo ili apate attention ya boyfriend wake na watu waliokuwa wanashuhudia tukio hilo la aibu.     
Kutokana na taarifa zilizokusanywa na Reportghananews.com, msichana huyo alikasirika baada ya kujua kuwa boyfriend wake huyo anamahusiano ya kimapenzi na dada yake mwenye miaka 17.
Hivi ilikuwa kitu sahihi kweli kujidhalilisha yeye na boyfriend wake mbele za watu hivyo?Eti kisa kaibiwa....jamani these things happens everyday na maisha yanaendelea yanini sasa kuongezea uharibifu,kuibiwa uibiwe wewe,kuvua nguo uvue wewe,si ndo majanga yenyewe haya?! 

No comments:

Post a Comment