Friday, September 06, 2013

AMWAGIWA TINDIKALI USONI BAADA YA KUACHANA NA MCHUMBA WAKE

Binti mmoja Blessing Ikhumuhi hatasau maishani mwake siku aliyoogeshwa tindikali usoni na mpenzi wake baada ya kumwambia uhusiano wao uishe.
Blessing baada ya kuharibiwa sura
Cyrill Okusan kijana wa miaka 22 ametajwa kama muhusika wa unyama huu,Tayari ameshafunguliwa mashtaka kwa kosa hili.

Nadhani ni wivu tu wa kimapenzi na roho mbaya ndiyo iliyosababissha yote haya,jamaa akaona wacha nimuharibu reception tuone baada ya mimi kama kuna mtu atakubinyia hata kijicho..mbaya sana! Kina dada kuweni makini na ma-boyfriend wa kukutana nao mitaani bila hata kujua background na tabia ya mtu.

No comments:

Post a Comment