Monday, September 30, 2013

BREKING NEWS: MSANII MACK 2 B WA KUNDI LA WATEULE AMEFARIKI DUNIA


                            #BreakingNews #Fahamu Msanii Na Producer Wa Music Wa Bongo Fleva Na Reggae Mack Malik Simba Amefariki Dunia Dakika 30 Zilizo Pita. Kaka Wa Marehemu Msafiri Masharubu Amesema na thesuperstarstztz Kuwa mdogo wake Alikuwa Akisumbuliwa Na Kuvimba Kwa Miguu Sana na Amefia Nyumbani Kwao Yombo. 

Mack Alikuwa Member wa Kundi la wateule na producer kwenye studio za Enrico Pale Sound Crafters. Tunazidi Kufuatilia Habari Zaidi

No comments:

Post a Comment