Thursday, September 05, 2013

HAKIKISHA UNASOMA HII MDAU WETU ANAHITAJI MSAADA WA KINA

MSHAURI MSIKILIZAJI WETU HUYU:

Mimi ni msichana mwenye miaka 29, nina mchumba ambaye aliamua kunisomesha toka nikiwa kidato cha 1 tena shule binafsi hadi sasa nimeweza kuhitimu chuo kikuu mwaka huu pale UDSM. Lakini wakati niko chuo nimekutana na kaka mwingine ambaye tumetokea kupendana kwa dhati maana na yeye ndiye chaguo langu, ila huyu mchumba aliyesomesha nilimkubali tu wakati huo maana sikuwa na mwelekeo wa maisha.

Niko njia panda jamani, naombeni ushauri nifanyeje?

Kama unalo la kumshauri hakikisha unaacha coment yako hapa.

No comments:

Post a Comment