Friday, September 13, 2013

H.BABA NA FLORAH MVUNGI WAMPATA MTOTO WA KIKE NA KUMUITA TANZANITE.

Tanzanite
Wasanii maarufu nchini H Baba na mkewe Frolah Mvungi wamefanikiwa kupata mtoto wa kike jana jioni majira ya saa 12:30 katika hospitali ya
Maria Stope iliyopo Mwenge jijini Dar es Salaam.


                                   H.Baba na Florah
  Kama unakumbuka hapo awali H Baba alisema kama akifanikiwa kupata mtoto wa kike au wa kiume basi atampa jina la 'Tanzanite' ambalo ni madini yanayopatikana Tanzania pekee duniani, hatimaye wanandoa hao wamefanikiwa kumpata mtoto wa kike na kumpatia jina la Tanzanite

No comments:

Post a Comment