Saturday, September 21, 2013

JACK WOLPER ASEMA YEYE SIO MSAGAJI,WASANII KIBAO MA DIRECTOR WAONGELEA KUHUSU HILO

Msanii wa filamu nchini tanzania ambaye wengi hupenda kumtaja kama starg asiyeogopa gharama pindi akitaka jambo lake haswa katika mavazi nywele vitu vya ndan kwake na kadhalika anayekwenda kwa jina la jackline wolper amekanusha vibaya skendo inayovumishwa na wasiotaka maendeleo yake kila kukicha.

Akipiga stori na thesuperstarstz muda mfupi akiwa nyumbani kwake jaki amesema kuwa kwasasa kinachoendelea kwake sio sahihi na watu hawapaswi kumfikiria hivyo kwani yeye ni msanii na pia ni haki yake kubadilika kila mara kulingana na waakati ili asichoshe mashabiki wake.

Mwanadada huyo mwenye sura nzuri na tabasamu la kuvutia aliyasema hayo baada ya kuanza kwa skendo za chini chini zikimuhusisha na ushagaji...Unajua sam kinachoonekana hapa ni watu kutengeneza majungu juu yangu nataka ujue mimi kuvaa pensi na kuvaa nguo kama zile haina maana ya kwamba imi ni msagaji no mimi nina maisha yangu na nina mtu wangu sasa haya sijui yanakujaje tena alisema msichana huyo anayekimbiza ndani ya soko la filamu bongo na kuongeza kuwa ........Mimi kiukweli napenda sana kuwa tofauti na ndio maana ukiangalia staili za nywele zangu wakati mwingi na nguo utagundua nipo tofauti sana sasa naomba muchukulie nguo hizi ni nguo kama nguo nyingine msikariri jamani mimi sio tom boy mimi ni jack mwenye hisia na na homon za kike na wala sio msagaji. alimaliza jack

 Jack alisema kuwa yeye binafsi hapendezwi na tabia za namna hiyo na hata iku moja hatafanya hivyo pia amewaomba mashabiki wake kusikiliza kaulizake na si za watu wa magazeti mwanadada huyo ambaye alionyesha kukerwa na tabia hiyo alisema kuwa itafika kipindi atawashitaki kama ikibidi alisema jack msanii ambaye anasifiwa na ma produser wengi wa bongo kwakuwa anajua anachokifanya hata ukimpa kazi si mzembe anakwenda na wakati na pia yupo shap katika kubadili nguo kutoka scen moja kwenda nyingine aliwahi kusikika akisema Director mmoja mkubwa nnchi.

Wakiongea na kwa nyakati tofauti baadhi ya wasanii na ma director wa filamu nchini wameonyesha kusikitikashwa na habari hizo huku wengi wakikanusha na kusema wanamjua sana jack na kamwe hawezi kufanya ujinga huo.

No comments:

Post a Comment