Thursday, September 05, 2013

LISA JENSEN AJIFUNGUA MTOTO WA KIKE

Lisa katika pozi
Lisa wakati alipokuwa na mimba
Mwanadada mkali katika tasinia ya filamu bongo na pia ni mwanamitindo aliyewahi kushika nafasi ya tatu katika mashindano ya umisi nchini Lisa jensen amejifungua salama mtoto wake wa kwanza wa kike.


Habari hizi zimeanza kuzagaa kwa kasi katika mitandao mara baada ya mwanadada huyo kuzitundika baadhi ya picha hizo katika mtandao wa Instagram,baada ya kuona hivyo muandishi wa thesuperstarstz alimuendelea mwanadada huyo hewani kwaajili ya kumpa hongera ila simu yake ilipokelewa na dada mwingine na kusema kuwa lisa yupo kapumzika hivyo tupige baadae hadi tunaingia mitamboni hatukubahatika kuongea na lisa japo aliyepokea simu alisema akiamka atatuambia
Thesuperstarstz inampa hongera lisa na kumtaka amlee mwanae katika madili mema hongera sana .........................

her lovelydaughter.............
Mtoto wa Mwanadada Lisa Jensen

No comments:

Post a Comment