Monday, September 09, 2013

MSANII MALISA WA BONGO MOVIE AFARIKI DUNIA VILIO NA MAJONZI VYA TAWALA BONGO MOVIE

Mwigizaji Zuhura Maftah Maarufu Kama Melissa Afariki Dunia jana 8/9/2013 .Kwa taarifa tulizozipata ni kwamba Zuhura aliumwa week chache zilizopita. Ni mwigizaji aliyefanya kazi na bongo movie kwa ukaribu kabla ya kutoka na kuanza kufanya kazi zake binafsi Ndivyo baadhi ya wasanii walivyoandika katika mitanda na sisi thesuperstarstz bado tunalifuatilia kwa ajili ya kukupa habari zaidi ikiwa ni pamoja na taratibu za mazish na mambo mengine kaa nasi kwani na sisi tupo kwa ajili yako.mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi Amin

4 comments: