Tuesday, September 10, 2013

MWENYEKITI WA SEREKSLI YA MTAA WA SINZA E APATA AJALI

1_c89b0.jpg
mwenyekiti wa serikali ya mtaa wa Sinza E amepata ajali ya kugongwa na bodaboda maeneo ya vatican karibu kabisa na kituo cha lion.  
4_81864.jpg
mwendesha bodaboda mwenye koti jeusi na pensi ndiye mmiliki wa pikipiki hiyo
2_4abd5.jpg
pick_up_cb13f.jpg
Wananchi wakimpakia mwenyekiti huyo kwenye gari la Msamalia mwema tayari kwa kumpeleka hospitali ya palestina sinza.

No comments:

Post a Comment