Friday, September 06, 2013

NEWS:ZICHEKI PICHA 3 MEEK MILL AKIWA STUDIO NA NICKI MINAJ WAKIPIKA NGOMA MPYA

Nikimtaja Meek Mill waeza ukawa ushamsikia  mnyamwezi huyu anetamba kwenye gemu
la muziki wa Hip-Hop RnB na nikimtaja Nicki  Minaj utajua namzungumzia mwanadada machachari kabisa kwenye miondoko ya kurap
 nchini marekani na duniani kiujumla.

Tazama Picha hizi tatu za Mwanadada  Nicki Minaj akiwa Studio na Meek Mill Ingawa wawili hawa awakuweka wazi ni
 ngoma gani wanatengeneza.....
Maswali kwetu...Tusubiri goma  zuri toka kwao au sio bhana,,,,,??
 Usikose kupitia hapa hapa kupata upadates 
kali za town na habari tofauti tofauti.


Pata habari za kina na za uhakika kutoka hapa hapa www. thesupestarstz.blogspot.com

No comments:

Post a Comment