Monday, September 23, 2013

PICHA!!!! DIAMOND PLATNUMZ NA NADIA KWENYE MAPOZI YA MITEGO....HIVI KWELI NI USHEMEJI AU? CHEKI MWENYEWE

 

Huyo ni Mwanadada Nadia wa malaysia alipo Diamond kwa sasa akifanya show katika mapozi tofauti sehemu mbali mbali...

Mpashaji wa habari hii ametuambia eti wanaitana mashemeji ....Mhh We Wasemaje kunani? au tuwaache walale?

No comments:

Post a Comment