Friday, September 27, 2013

PICHA ZA AJALI MBAYA ILIYOTOKEA MAENEO YA MANZESE MWEMBECHAI HAPO JANA KUMRADHI KWA PICHA HIZI

WANANCHI WAKIANGALIA MWILI WA MAREHEMU
MWILI WA DEREVA BODABODA AJALI MBAYA SANA LEO IMESHUHUDIWA NA HABARI24 MAENEO YA MANZESE MWEMBECHAI AMBAPO DEREVA BODABODA AMEGONGWA VIBAYA NA KUFARIKI HAPO HAPO NA DALADALA
HII NDIO GARI ILIYOMGONGA DEREVA BODABODA MAENEO YA MANZESE

No comments:

Post a Comment