Sunday, September 08, 2013

PICHA ZA UTUPU ZA WADADA ZAZIDI ONGEZEKA,JE HII NI NJIA SAHII YA KUTAFUTA UMAARUFU ............?

Tabia  ya  kupiga picha  chafu  za utupu  imeendela kuwatafuna  akina  dada  hapa  nchini..... Tabia hii  ilianzia  kwa  wasanii maarufu kama  WEMA SEPETU,  JACK  WA  CHUZ,  LULU MICHAEL  RAYUU na sasa  imeingia  kwa  warembo wa  kawaida 


Pamoja na jitihada za kuwaanika watu  hawa, tabia hii  imeendelea kuota mizizi kila kukicha.Wahusika wakuu wa  uchafu  huu ni akina dada.......
Iko haja kwa  akina  dada  kujitathmini.....Kwa  nini  kila siku ni wao tu??? 

Thesuperstarstz inaiomba serekali ilifanyie kazi swala hili maana sasa imekuwa fashion kwa wakina dada kupiga picha za uchi ili wawe maarufu.

No comments:

Post a Comment