Sunday, September 22, 2013

SAMAHANI BAADHI YA PICHA ZINAUMIZA: MTUHUMIWA WA MAUAJI YA DEREVA WA BODA BODA APEWA KICHAPO NA WANANCHI IRINGA....

kijana anayetuhumiwa kumteka na kufanyia mauwaji  dereva Boda boda Edga Lalika akiwa amezimia baada ya kupewa kichapo na madereva boda boda eneo la Stendi kuu ya mkoa wa Iringa baada ya kukamatwa eneo la Mwangata
Mwili wa marehemu Edga Lalika anayedaiwa kuuawa na mtuhumiwa huyo juu aliyekamatwa .
Polisi wakimuokoa mtuhumiwa wa mauaji ya dereva boda boda leo mjini Iringa
Askari polisi mjini Iringa wakimuokoa mtuhumiwa


Hapa akiingizwa katika gari la polisi kunusuru kuuawa kwa kuchomwa motoWananchi wakishuhudia tukio hilo leo


Gari la polisi ambalo limembeba mtuhumiwa wa mauaji ya dereva boda boda
Msafara wa madereva boda boda wakilifukuza gari la polisi kwa nyuma

No comments:

Post a Comment