Tuesday, September 17, 2013

SAMAHANI PICHA HIZI ZINAUMIZA.....JAMBAZI LAUWAWA NA POLISI SUKITA DAR EAS SALAAM

http://4.bp.blogspot.com/-NHuiPoC9zQI/UjbUGZIGkJI/AAAAAAAADDM/0iHQwtB14eM/s1600/IMG-20130916-WA000.jpg
http://3.bp.blogspot.com/-cNL8bNRxw1s/UjbUGb6PWMI/AAAAAAAADCo/3Wgra5w92JQ/s1600/IMG-20130916-WA001.jpg
http://1.bp.blogspot.com/-nkN6-YTOFHE/UjbUHL7KZmI/AAAAAAAADC4/FBpdCyjsG_E/s1600/IMG-20130916-WA003.jpg
http://1.bp.blogspot.com/-C_6SVnE50uc/UjbUHaYbLXI/AAAAAAAADC8/nZ_hpmjz0_s/s1600/IMG-20130916-WA004.jpg
Jeshi la polisi daresalam leo limefanikiwa kupambana na  majambazi ambayo yanadhaniwa kuiba pesa katika duka moja la kuuza vitu vya jumla na reja reja huko vingunguti,taarifa zinasema kuwa mara baada ya kuiba wananchi waliwazingira majambazi hayo na walipogumdua wameshakamatika waliamua kurusha baadhi ya pesa kama sanda kalawe na ndipo wananchi walipoanza kuzigombea zile  pesa nakuwafanya wao kupata upenyo na kukimbia


No comments:

Post a Comment