Saturday, September 14, 2013

SERENGETI FIESTA NDANI YA JAMHURI DODOMA USIKU HUU MSWANU DU!!


 
Mkali Diamond akitumbuiza usiku huu katika jukwaa la Serengeti Fiesta 2013 Jamhuri mjini Dodoma.Tamasha la Fiesta linahamia Jamhuri mjini Morogoro Jumamosi hii.
 Mkali alierithi viuno vya RC, Rachel akishambulia jukwaa la Serengeti Fiesta 2013 ndani ya uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma usiku huu.
 Mmoja wa wasanii wa Rachel akitumbuiza jukwaani.
 Baadhi ya mashabiki wakifuatilia show hiyo usiku huu


 Mkali wa Rymes Afande Sele kutoka Mji Kasoro Bahari akitoa burudani kali jukwaani
Licha ya Ukongwe wake mithili ya Simba Dume, Afande Sele bado analimudu jukwaani kama kawaida.

No comments:

Post a Comment