Monday, September 23, 2013

SERENGETI FIESTA YAANDIKA HISTORIA SHINYANGA

DSC_0247
Show ndio kwanza imeanza hapa kwenye uwanja wa Kambarage 87.5 Shinyanga mtu wangu ambapo wakali kama Ney wa Mitego, Juma Nature, Linah, Stamina, Young Killer, Dudubaya, Godzilla, Nikki wa II, Joh Makini na G Nako ni baadhi tu ya watakaoonekana kwenye stage usiku huu hapa Shy Town.
DSC_0248
DSC_0243
DSC_0241

No comments:

Post a Comment