Wednesday, September 18, 2013

TAFADHALI PICHA ZINAUMIZA: MTU MMOJA APOTEZA MAISHA BAADA YA KUSHAMBULIWA NA SIMBA HUKO MKOANI LINDI

Hivi karibuni mdau wa website ya masainyotambofu akiongea kwa njia ya simu ya kiganjani kutoka huko mkoani LINDI wilaya ya NACHINGWEA katika kijiji cha ''LIONJA'' Alitoa taarifa kuhusu Mtu huyu mwenye umri wa miaka (45) ameuwawa na simba wakati akienda shambani kwake alfajiri kwenda kuangalia korosho wakati akielekea shambani ndipo aliposhambuliwa na simba hao wawili kabla ya tukio hilo simba hao walikuwa wakishambulia mbwa katika kijiji hicho, Tukio hili lilijiri siku chache zilizopita, M/mungu ailaze roho ya marehem mahala pema peponi,
Wanakijiji wakitaharuki baada ya kuuona mwili wa marehemu.

1 comment:

  1. Yaan poz limeniishia Hiv Ukikutwa na ngozi ya Simba na Maafisa wanyama poli si kifungo? sasa Simba akiua watu au mtu kama hiv inakuaje? Familia hii Baba ndivyo hivyo tena hayupo duniani TANAPA wanasemaje? eeeh!! si tu kuthamini wanyama wakati Wananchi wanauwawa na hao Wanyama.

    ReplyDelete