Wednesday, September 04, 2013

TAHADHARI PICHA ZINAUMIZA.... KIJANA MMOJA ACHOMWA MOTO KWA TUHUMA ZA KUIBA MAHARAGE HUKO NGARA

Hapa wanakijiji huko mukarehe  wilaya ya ngara wakiushangaa mwili wa kijana huyo aliyeuwawa kwakusadikiwa aliiba maharage
Ama kwa  hakika hii ni hali ya hatari sana kwetu juu ya vibaka huu ni mwili wa kijana mmoja huko katika kijiji cha mukarehe wilaya ya ngara aliyechomwa moto akiwa kanyoosha mkono kama ishara ya kuomba kitu ila raiya hawakuona waliamua kukatisha uhai wake kwa kosa la kuiba maharage ambayo unayaona hapo chini
kijana akiwa amebaki mkaa na nusu yake kama mbuzi wa ndafu inasikitisha sana.

3 comments:

  1. mwizi wa maharage ni njaa imemkaba haina haja kumua kinyama hivyo...

    ReplyDelete
  2. si haki kuchkua hatua mikononi lkn hali hii inawezekana vyombo vya sheria vimeshindwa kuchukua hatua kutokana na kero za vijana aina hiyo.Tahadhari kwa vyombo husika wa vyombo vya sheria

    ReplyDelete
  3. wahusika wa mitandao ya kijamii wawe makini kwa picha kama hizi ... huyu ni binadamu si mnyama. Mtu kuiba halafu kuchomwa! kwa Mwenyezi Mungu si sawa hata chembe. Kumbukeni mwenye kuiba na waliomchoma wote ni watenda dhambi!!!....

    ReplyDelete