Tuesday, September 10, 2013

TASWIRA YA MSIBA WA MALISA WA BONGO MOVIE HATIMAYE MAZISHI YA ZUHURA YAMETIMIA

 Msanii wa Bongo Movie Steve Nyerere akiwa ameduwaa wakati wa kuaga mwili wa Marehemu Zuhura Maftah Malisa nyumbani kwao Mikocheni jijini Dar es Salaam leo
 Mtoto wa Marehemu akiaga mwili wa mama ake mzazi
 Baadhi ya waombolezaji wakiwa wamebeba jeneza tayari kwa safari ya kwenda kuusitili mwili wa marehemu katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar.
 Ndugu na jamaa wa Marehemu Zuhura wakiwa mbele ya jeneza.
 Msanii wa filamu Monalisa akiaga mwili wa marehemu
 Mussa Cloud akiaga mwili
 Dino akiaga mwili
 Kaburi likiwa tayari kwa maziko
 Jeneza la marehemu likiwa juu ya kaburi tayari kwa maziko
 Jeneza likizamishwa
 Mtoto wa marehemu akisaidiwa kumwaga mchanga kaburini
 Jeneza likiwa tayari shimoni
 Pendo wa Bongo Movie akiaga
Waombolezaji
Jeneza lililobeba mwili wa marehemu likishushwa kwa ajili ya kuingizwa ndani.
  Mtoto wa marehemu, Sabrina akiuaga mwili wa mama yake.
Ndugu, jamaa na marafiki wakiuaga mwili.
  Umati wa waombolezaji wakiwa na nyuso za huzuni.
  Wasanii wa filamu, Chuchu Hans na Vivian wakilia kwa uchungu baada ya kuaga mwili wa marehemu.
   Msanii wa filamu, Monalisa akilia kwa uchungu.
  Mama wa marehemu (kushoto) na dada wa marehemu, Alice (kulia) wakilia kwa uchungu.
  Hapa mwili ukiingizwa kaburini.
Leo ndiyo ilikuwa siku ya mwisho ya kuuaga mwili wa aliyekuwa msanii wa filamu Bongo, Zuhura Maftah ‘Melisa’ aliyefariki dunia Jumapili iliyopita katika hospitali ya Hindu Mandal ambapo majonzi yalitawala nyumbani kwa dada yake Mikocheni ulikokuwa ukiagwa mwili wake na kwenda kuzikwa katika makaburi ya Kinondoni, Dar.
MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI AMEN

No comments:

Post a Comment