Friday, September 06, 2013

TAZAMA PICHA JINSI MHE.JOSEPH MBILINYI ALIVYOWEKWA CHINI YA ULINZI NA ASKARI WA BUNGE JIJINI DODOMA....

Askari wa bunge la jamhuri wa Muungano wa Tanzania wakimdhibiti Mhe mbunge wa Chadema jimbo la Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ndani ya bunge wakati akitolewa ndani ya ukumbi wa bunge hilo mjini Dodoma

Baada ya kuibuka mvutano huo mkali bungeni jana, kati ya Naibu Spika, Job Ndugai na wabunge wa Kambi ya Upinzani, wasomi, wanaharakati, Chama cha Madaktari Tanzania (Mat), Chama cha Walimu Tanzania (CWT) na Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (Tucta), vimesema kinachoendelea sasa ndani ya Bunge ni masilahi ya vyama vya siasa siyo taifa
. Picha kwa hisani ya Abubakari Nasibu.

No comments:

Post a Comment