Sunday, September 15, 2013

TINA MSAANII WA BONGO MOVIE ANAYEKIMBIZA KWASASA NDANI YA KANUMBA THE GREAT

Hapa christina akiwa katika pozi na  scrip yake kwa maandalizi ya kusoma scen
Soko la filamu nchini linaonekana kukuwa kwa kasi haswa baada ya vijana wengi wenye vipaji kuingia na kufanya mambo ya ukweli ndani ya tasnia hiyo inayofanya vizuri kwa sasa

Mwandishi wetu wa thesuperstarstz alimshuhudia mwanadad christina akionyesha uwezo unaotishia uhai wawasanii wakike nchini haswa ma star, filam hiyo inayoshutiwa na kanumba the great huku ikiongozwa na zakayo magulu muandishi wetu alipata muda wa kuzungumza na zakayo. 

Director wa filamu hiyo zakayo magulu ameweka wazi kuwa hata yeye ameanza kuhofia uhai wasanii wa kike kwani ameshafanya kazi na mastar wote wa kike hivyo anawajua vizuri uwezo wao kwa hiyo ana uhakika Christina atafanya makubwa sana katika soko hili la filamu nchini. 
Kwa upande wa mwanadada huyo ambae amezoeleka kwa jina la Tina amesema anajituma na anazidi kumuomba mungu kwani yeye ndio kila kitu  na ana amini kuwa mungu atamsaidia na atatimiza malengo yake ambayo amejiwekea kwani sanaa ya filamu ilikuwa moja ya malengo makubwa aliyokuwa amejiwekea maishani mwake na alitaman sana kufanya kazi na marehemu kanumba japo haikuwa riziki ila pia anasema anashukuru sana kwani pia kampuni kama kanumba the great kukubali ufanye nao kazi si kazi rahisi ila baada ya kukutana na seth bosco na kumuona zakayo magulu nashukuru walinielewa na nimefanikiwa kupita na kucheza filamu hiyo alisema tina.Haya wadau kazi kwenu kitu kipya hicho supot yenu inahitajika sana

No comments:

Post a Comment