Thursday, September 19, 2013

VITA YA UWOYA NA SHIGONGO YAFIKA PABAYA SOMA ALICHOKIANDIKA UWOYA

http://2.bp.blogspot.com/-Y7EtEb5ONjU/UjnMR1OFsOI/AAAAAAAANBU/RMZwyZPrw1U/s640/UWOYA2.jpgBado vita ni kubwa sana kati ya msanii wa filamu Iren Uwoya na mmiliki wa kampuni ya globpublisher inayotengeneza magazeti bwana Eriki shigongo.

Hali hii imeonyesha mwisho mbaya kwao mara baada ya magazeti ya shigongo kumuandika uwoya kuwa kaiba simu huku uwoya akiandika kuyajua meng ya shigongo na sasa hali imefika pabaya zaidi baada ya uwoya kuanza kusema atasema kila kitu kati yake na bosi huyo wa magazeti soma alichokiandika uwoya alafu tafakari uone kuna nini mbele yao .

Baada ya kusoma ujumbe huu kama ilivyoada ya thesupestarstz ilimtafuta bwana shigongo kwa ajili ya kutaka kujua kulikoni ila hatukufanikiwa kutokana na jamaa kuwa busy na mambo yake na tuliamua kumtafuta uwoya ambaye aliiambia thesuperstarstz kuwa  kwasasa hasemi kitu ila muda utafika ataweka kila kitu wazi na hajali chochote hata kama atakufa poa tu maana hakuna atakayeishi milele.

No comments:

Post a Comment