Tuesday, September 10, 2013

WAZEE WETU ANALIKUMBUKA HILI
Naomba kama kuna kijana yeyote wa zamani ambae sasa hivi ni mzee wakati hawa jamaa walipokuwa wanamiliki hili basi atueleze anakumbuka nini na enzi hizo alikuwa wapi na anapenda nyimbo gani za hawa jamaa kwa enzi hizo za hawa jama kumiliki hili gari

No comments:

Post a Comment