Tuesday, September 10, 2013

WAZEE WETU MNAIKUMBUKA HII NA ILIKUWA MWAKA GANI TUJUZENI


Naomba kama kuna kijana yeyote wa zamani hizi  wakati hawa jamaa walipokuwa wanamiliki hili basi atueleze anakumbuka nini na enzi hizi alikuwa wapi

Tunaomba kama kuna kijana yeyote wa zamani namaanisha mzeee kwa sasa ambae anakumbukumbu na hili bus atujulishe anakumbuka nini na alikuwa wapi wakati huo na anapenda nyimbo gani za hawa jamaa kwa enzi hizo za umiliki wa hili basi

No comments:

Post a Comment