Wednesday, October 30, 2013

HAYA KWELI MAAJABU TAZAMA SAA YA AJABU YENYE UWEZO WA KUJUA SIKU YAKO YA KUFA.

Dubbed 'death watch', Tikker, pictured, has been created by Swedish inventor Fredrik Colting.

Kwa mujibu wa Vyanzo vya habari Duniani na katika Website mbalimbali habari hii imekuwa ikienea kwa kasi sana,kuwa Sasa unaweza kutambua mda utakaokufa kutokana na kifaa maalumu kinachovaliwa mkononi ama kwa lugha Rahisi utaita Saa. Sasa hii inauwezo wa Kupiga mahesabu Tangia ilipozaliwa mpaka masaa uliyobakiza kuishi Duniani.

Kwa kifupi Saa hii inaitwa DEATH WATCH. Imetengenezwa na mSwedish inventor Fredrik Colting. Bwana Fredrik alinukuliwa akisema "The Happiness Watch' and claims it has been designed to help people make the most of their life and cherish the time they have left".

  • 1_The Tikker watch asks a set of questions about a wearer's medical history.
  • 2_Their age is subtracted from the results to get the estimated death date.
  • 3_Countdown then begins shown in years, days, hours, minutes and seconds.
  • 4_Creator claims it will help people make the most of the time they have left.  • CHANZO CHA HABARI HII NI"  DAILYMAIL.CO.UK

    No comments:

    Post a Comment