Wednesday, October 02, 2013

IRENE UWOYA, MARIAM ISMAIL NA JOHARI WAJIACHIA JIJINI ARUSHA

Mastaa wa filamu nchini tanzania  Mariam Ismail, Johari na Irene Uwoya wameweka picha katika mtandao mmoja wa kijamii wakiwa jijini Arusha kwa mapumziko.

Baadhi ya picha zinawaonyesha mastaa hao wakiwa Mount Meru Hotel. Angalia picha..

Mariam Ismail, Johari na Irene Uwoya

Johari akipiga msosi....
Uwoya.............
Irene Uwoya akiwa na mwanae Krish
Kama ilivyo ada thesuperstarstz iliwasiliana na uwoya na kutaka kujua kama kuna movie anashuti mjin arusha ambo kwa kifupi alisema yeye kwasasa yupo mapumzikoni na familia yake hivyo hana movie yoyote.

Kwa upande wa johari yeye alisema binadamu unapofanya kazi ni lazima upate kupumzika na yeye ameamua kuja arusha kupumzika kwani kwa mwaka huu kampuni yake ilikuwa bize sana na movie hivyo ana pumzka kisha ataendelea na kazi.
Na Sisi tunawatakia mapumziko mema dada zetu.

No comments:

Post a Comment