Monday, October 28, 2013

LADY GAGA APIGA SHOW AKIWA UCHI WA MNYAMA MASHABIKI WAMSHUKURU KWA UAMUZI WAKE

3
Huyu  ni  msanii Lady Gaga  aliyeamua  kutoa  burudani   akiwa  uchi  wa  mnyama  katika show ya G-A-Y huko London, Uingereza Ijumaa iliyopita.

Gaga (27) alipanda jukwaani akiwa amevalia vazi linalomfunika hadi miguu lakini wakati akiendelea kuperform ghafla alianza kusaula taratibu kutokea juu hatimaye kulishusha vazi lote na kubaki uchi..
8 7
 6
 5

 2
 3
 4

3 comments: