Thursday, October 10, 2013

MUIGIZAJI WA FILAMU ZA KISWAHILI MAGGIE SELUWA AISHIE NORWAY ASHEHEREKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA

Hapa maggie Seluwa akiwa na mchumba wake patrick Bashiz
Actress wa filamu za kiswahili katika nchi za Scandinavia Ambae pia ni mwanamitindo maarufu katika nchi hizo Maggie Seluwa  leo anasherehekea siku yake ya kuzaliwa(birthday) kwa kufikisha miaka 21 tangu aingie katika ulimwengu huu.

Mume matarajiwa wa msanii huyo patrick Bashiz ameasema anamshukuru mungu kwakila jambo haswa kumjali mchumba wake kufika miaka 21,Maggie anaziwakilisha  filamu za kiswahili barani ulaya akiwa tayari amecheza filamu za Remember God na Twin Sisters.

Actress huyo mwenye mvuto na ambae anazidi kukubalika katika nchi ya norway yeye alisema anamshukuru mungu na anamuomba amjalie maisha maref akiwa na mpenzi wake Partrick Bashiz ambaye pia ni muigizaji n director huku akimiliki na ku producer filamu katika kampuni yake ijulikanayo kama JDP Productions ikiwa na makazi yake nchini Norway.


Nnje ya filamu na Mwadada huyo pia ni muimbaji mzuri sana wa nyimbo za kumsifu mungu na pia ni mwanamitindo kama blog ya mastar tunamtakia star huyu maisha marefu zaidi .....Happy birthday Maggie Seluwa.

No comments:

Post a Comment