Tuesday, October 22, 2013

NI WEMA JOKETI AU LULU ALIYEPENDEZA KATIKA VAZI HILI LA ZEBRA

WEMA SEPETU
LULU MICHAEL
JOKETI MWANGELO
   Wote ni mastar wa tanzania ndani ya bongo tukianza na wema sepetu pichani juu yeye ni msanii wa filamu na alishawahi kushinda mashindano ya u miss tanzania na kuwa miss tanzania,na kwa upande wa joketi mwangelo pia ni msanii wa filamu na alishawahi kuwa miss tanzania namba mbili,na kwa mwanadada lulu michael yeye anapenda kuwa model japo hajawahi kushiriki ila kwa sasa anaakimbiza katika soko la filamu.
Je kwa mtazamo wako unadhani nani kati yao aliyependeza kwa vazi la zebra na unadhani ni kwanini amependeza

No comments:

Post a Comment