Monday, October 28, 2013

RAY.....SINA MPANGO WA KUOA LEO WALA KESHO

Muigizazji maarufu wa bongo movie Vicent honorat kigosi amaesema kuwa katika maisha yake hapa dunian hatarajii kuoa leo au kesho kwakuwa bado haoni mtu sahihi wa kumuoa.

Akipiga story na thesupestarstz muda mfupi uliopita Ray ameimbia tsstz kuwa  bado anayafurahiya maisha anayoishi ya kibachela kwani haya muumizi kicha na hana matatizo na mtu zaidi ya kuchapa kazi usiku na mchana"Napenda maisha haya, sina mpango wa kuoa kwa sasa, niko kivyanguvyangu na suala la kuoa kwangu bado ni kitendawili ambacho bado sijakipatia majibu" alisema Ray

No comments:

Post a Comment