Monday, November 11, 2013

BREAKING NEWS: PROFESA JAY APATA AJALI

Taarifa zilizotufikia hivi punde ni kwamba Mwanamuziki wa Hip hop, Joseph Haule 'Profesa Jay' amepata ajali ya gari baada ya kuparamia kifusi akijaribu kumkwepa mtu eneo la Kimara-Baruti, jijini Dar wakati akitoka nyumbani kwake Mbezi! Prof hajaumia sana katika ajali hiyo japo gari lake limeharibika.

1 comment: