Monday, November 25, 2013

HIVI NDIVYO P-SQUARE WALIVYOIZIMISHA DAR ...MREMBO APAGAWA NA KUPEWA SAA YA GARAMA,PALIKUWA HAPATOSHI.

Mrembo aliyetunukiwa na Peter akiwa jukwaani baada ya kuitwa na kujitokeza
....akinyoosha mkono
...akivishwa saa ya bei mbaya na Peter, ambaye alisema ameoa Nigeria wiki iliyopita na Bongo anaoa pia.....
...sogea nikubusu my 'Beautiful Onyinye....!
....mmmwaaaa!!!
....ni kama anamnong’oneza ‘jamani Peter wewe si unanitafutia balaa na mkeo’....hahahahaha!!!
....this is my beautiful Onyinye oooo!! 
".....oooo 'tank' you 'tank' you my Onyinye......!!"
.....Mr. P is getting back to business now, lol!! 
.....akiimba kwa hisia kali!
...o!o!o!o!, this guy yooo, is crying oohhh!!! 
.......jukwaa lilikuwa lao, walilitawala walivyotaka! 
...hapa kazi ni kazi tu! 
....warembo wengi  walipagwa na mengi, ikiwemo bodi ya Mr. P!!!
Ooooo, mambo ya Diaomond haya sasa!!! 
...ilikuwa ni shoo Live ya ukweli! 
......baada ya shoo kali ya masaa matatu, sasa inatosha Dar es salaam..asante sana...’tank yo! tank yo’!!!

No comments:

Post a Comment