Friday, November 01, 2013

HIVII HUU NI UJINGA UTOTO AU USHAMBA KAMA HUJAWAHI KUONA HIZI PIPICHA 5 ZA HAWA WATU AKIFANYA MADUDU,KUMRADHI WASOMAJI

Kiukweli huwa napata wakati mgumu sana kila nikitazama jinsi wanawake wanavyojidhalilisha katika jamii yetu jambo linalonifanya niamini kweli wanawake mwalimu wao kipofu na alishafariki,kifupi picha nazozitumia hapa si ngeni kwenu wadau  nadhani mtakuwa umeshaziona kwa namna moja au nyingine katika mitandao.
Ninayanena haya kwa ujasiri kabisa kwani mtakubaliana na mimi kuwa kila picha za utupu zikivuja mtandaoni basi anayeonekana kituko ni mwanamke na sio mwanaume hili limekuwa likinipasua kichwa sana kwani wadada sijui wanakuwa hawaoni kinachowapata wenzao au nikutafuta umaarufu au sijui ni kuiga nae aonekane katika mitandao hata sielewi.
Nataka tu mtambue kuwa hili mnalolifanya leo nyie mnapewa sifa za kijinga ila baadae ni majuto kwani picha hizi zitakutafuna hadi utakapokufa kiukweli hutaweza  kuwa kiongozi wa nchi hii kwa kashfa kama hii maana kila wakati watatumia picha zako kukudhalilisha na hatimaye kukuonyesha kama mtu asiyefaa kuwaongoza watu kama ulishindwa kuongoza mwili wako.

katika jamii hata kama ni la maana watu watakubeza kwakuamini huwezi kuwa sahii kwakupiga picha za uchi Angalizo
Haya wanafunzi mnaoenda kwenye mavyuo na kuanza kuiga staili mpya za maisha au kujifanya watu wa mjini sana mnadhalilisha wazazi wenu!!! wengine hela za kuungaunga halafu nyie mnaangukia huku? acheni kuiga mambo yasiyofaa mbona hatuna utamaduni wa kupiga picha za uchi ? jamani hizi simu zifungiwe tu hata kama utamu wa penzi ndio mpige picha zaa uchi? je wazazi wenu wakiziona watajisikiaje?
6 comments:

 1. dah jamaa anafaidi mtoto ziwa konzi dah haki ya nani wakubwa wanafaidi

  ReplyDelete
 2. ACHA UFALA NA HABARI ZAKO ZA ZAMANI PIGA PICHA DADA AKO NA SHANGAZI ZAKO UWAWEKE KWENYE BLOG YAKO NASIO MAPICHA YA ZAMANI MSHENZI WEWE ETI " JAMAA NAFAIDI ZIWA KOZI"

  ReplyDelete
 3. c'est vraiment regrettable!

  ReplyDelete
 4. wote wasenge 2, hamna dili, nyama nyie mbona mnaleta tabia za CHADEMA hapa blogini?

  ReplyDelete
 5. fuck u al..... no discipline

  ReplyDelete
 6. Huyu mwanamke lazima awe kahaba! HANA AIBU KABISSSA, angalia pic alopiga juu ya kiti.
  Ila you guy nae duuuuuh!!!!!

  ReplyDelete