Monday, November 11, 2013

HURUMA SANA...!! HUYU KIJANA ANAFARIKI MDA MFUPI UJAO HUKU AKIJIONA KWA MUJIBU WA DAKTARI...

Doctor Amesema kijana Huyu Atafariki Baada Ya muda mfupi Kwa Sababu damu imevujia ndani ya Ubongo Wake Na Amesema Hawana Uwakika Kama Wataweza Kumnusuru

Lakini Mungu Pekee ndio anauwezo Wa Kuongea Juu Ya Huyu kijana Na Anaweza Kumponyesha, Eeeh Mungu Twaomba Umponyeshe Huyu kijana Na Uweze Kushinda Maneno Ya Doctor. 

Kama Unaamini Mungu Anaweza Kumponyesha Huyu kijana Comment "Amen" Kwa Huyu kijana james Na "Share" Kwa Maombi Zaidi ya watanzania wenzake.

No comments:

Post a Comment