Taarifa ikufikie kwamba kwenye headlines sasa hivi, club ya soka ya Manchester United imetajwa kuwa kwenye mipango ya kumchukua mtoto wa kwanza wa David Beckham aitwae Brooklyn ili ajiunge na Academy ya club hiyo.Unaambiwa makocha wa Manchester United wamekua wakitazama uwezo wa soka wa Brooklyn mwenye umri wa miaka 14 na huenda akaalikwa kujiunga na Academy ya club hii ambayo baba yake alitokea kwenye mechi zinazocheza kwenye 400, kushinda Premier League mara sita, FA Cup mara mbili pamoja na European Cup.

Brooklyn ambae alikua kwenye academy ya LA Galaxy Marekani wakati wa time ya baba yake ameshaingia kwenye headlines za kuwa karibu na club kama Chelsea na Queens Park Rangers.
Kwenye
moja ya interview zake, Beckham alipoulizwa kuhusu watoto wake kuwa
wachezaji alisema ‘kama mzazi siku zote una wasiwasi, je watakua na njaa
ya mafanikio kama niliyokua nayo? na kila baada ya kucheza huwa
wananiuliza, baba nimecheza vizuri?’
No comments:
Post a Comment