Monday, November 25, 2013

Mtoto mmoja wa kigogo nchini kenya azua tafulani baada ya kulewa club atolewa nje huku akiwa amevuliwa nguo.


Katika hali isiyoweza kufikirika binti mmoja
mwanafunzi wa mwaka wa kwanza katika chuo kikuu cha nairobi ambaye pia ni mtoto wa kiongozi...... fulani wa dini nchini humo. Alienda kwenye club moja ambayo siku hiyo ilikuwa inauza pombe nusu bei, binti huyo alikunywa sana na kulewa na baada ya muda boyfriend wake pia alifika na kuendelea nae kunywa, binti huyo alianza kuleta fujo na kuvunja chupa na glass kwenye club hiyo, uongozi ulishindwa kuvumilia na kuchukua hatua ya kumtoa na mkutupa nje huku boyfriend wake alibaki ndani akilipa uhalifu na mali alizo haribu binti huyo..!!
CREDIT-THECLICK

No comments:

Post a Comment