Saturday, November 30, 2013

MTOTO W A KIN KIKI AJITETEA KUHUSU KUSAMBAA KWA PICHA ZAKE ZA UTUPU...! SOMA ALICHOKIANDIKA

LEO picha za nusu utupu za Binti huyu zimezagaa mitandaoni ikisemekana ameweka yeye hizo picha facebook lakini yeye amejitokeza na kusema hiyo facebook account haijui na si yake ..haya ndio aliyoyasema jisomee mwenyewe hapa:

"My friends hizo picha zinazosambazwa na watu sijazituma mimi japo yes nilizipiga,ila kuna mtu ambae anatumia hela na uwezo wake kunichafua kwenye magazeti na kwenye mablog,sidhani kumuacha mwanaume ni sababu ya kunichafua na kuandika habari za uongo magazetini,nashukuru kwa mnaoni support, hasa familia yangu na wazazi wangu wamekua bega kwa bega na mimi,sheria itachukua mkondo wake naamini serikali chini ya waziri Dk Emmanuel Nchimbi iko pamoja na mimi na nashukuru kwa support yao
Huyo mwanaaume niliachana nae, baada ya kuona ana mahusiano yasiyo ya kawaida na mamaake, nikaona niondoke baada ya kuninyanyasa sana kijinsia mpaka kesi ipo polisi kawe, sasa amepokonya simu ambayo inapicha zangu personal anazisambaza, amewahi magazeti ili ajisafishe,ila ukweli ni kwamba yeye na mama yake ambae ni kigogo mkubwa serikalini ndo wanahusika" Written By Jessica Kikumbi.

No comments:

Post a Comment