Friday, November 08, 2013

MWANTUMU WA EXTRA BONGO AZIKWA NA KUACHA WATOTO WAWILI

Hii ndo ilikuwa safari ya mwisho ya mwantumu othuman wa extra bongo amezikwa makaburi ya mburahati mianzini ameacha watoto wawili wakwanza alizaa na mcd Masoud Mohamed mpiga tumba wa Twanga Pepeta na wapili amemuacha anamiezi 4 na mume uyo mnaemuona pichani na mtoto wa marehemu ndo huyo mwenyezi mungu muondolee adhabu ya kaburi mja wako.

No comments:

Post a Comment