Saturday, November 02, 2013

PICHA: AJALI YA BODABODA...DEREVA AVUNJIKA MGUU,ABIRIA YUKO HOI BIN TAABAN....

Wasamaria wema wakijaribu kutoa msaada.

Dereva wa bodaboda akishika sehemu ya mguu wake iliyovunjika.

Wakisubiri msaada.

Bodaboda yao.

Wasamaria wema wakitafakari jinsi ya kuwakimbiza kupata matibabu.


Gari iliyowagonga.
Dereva wa bodaboda amevunjika mguu na abiria wake kupoteza fahamu baada ya kugongwa na gari ndogo aina ya  Toyota Carina yenye namba za usajili T236ATJ . Ajali imetokea Barabara ya Morogoro eneo la Kimara Stop Over jijini Dar wakati bodaboda hiyo ilipokuwa ikitokea Mbezi kuelekea mjini kugongwa na gari hiyo ilitokea upande huo kukunja kona upande kushoto wa ghafla na kuwazoa majeruhi hao.

No comments:

Post a Comment