Monday, November 11, 2013

RAY ACHIA COVER YA MOVIE YAKE MPYA

Msanii mahiri wa movie nchini tanzania na kiongozi wa bongo movie maarufu kwa jina la Ray ameongea na thesuperstarstz hii leo nakuelez mikakati ya ya kampuni yake na kueleza mpango wa kuachia filamu yake mpya ya Hard Price ambayo imechezwa na Jackline Wolper,Sabby Angle na yeye mwenyewe.

No comments:

Post a Comment