Tuesday, November 05, 2013

TAZAMA JUMBA LA KIFAHARI LENYE AIRPORT NDANI KWA NDANI HAPO HAPO NYUMBANIarticle-2486741-1923386700000578-170_634x475 

Nyumba hii ipo huko Las Vegas Marekani na ina heka 40 na indoor car parking kubwa sana kuingiza magari zaidi ya kumi kwa wakati mmoja na upande wa mwingine ina zoo humohumo ndani, jet inayopark kwenye airport yake binafsi hapo mjengoni haina haja ya kwenda kwenye public airport na ukitaka kumiliki hii nyumba inabidi zikutoke $ 48 millioni.
Vyumba vya kulala vipo vingi kiasi kwamba wakati mwingine inabidi kuwasiliana kwa simu chumba hadi chumba kwasababu ya umbali wa kufikia vyumba vingine pia kuna ofisi binafsi kiasi kwamba unaweza usiende sehemu yoyote kazi zako zote zikafanyika ndani ya hizi heka 40.
Upande wa michezo kuna uwanja wa kucheza golf, basketball, swimming pool kubwa likiunganishwa na water falls na pia kuna eneo kubwa sana la wazi na humo ndani kumewekwa nakshi na material ya gharama kuanzia dinning, jikoni hadi vyumbani.
article-2486741-1923388400000578-459_634x475

article-2486741-1923389000000578-571_634x475

article-2486741-1923380C00000578-233_634x475

article-2486741-1923383A00000578-296_634x475

article-2486741-1923382500000578-798_634x475

article-2486741-1923380800000578-702_634x844

article-2486741-1923382900000578-348_634x475
article-2486741-1923385B00000578-515_634x475

article-2486741-1923384200000578-540_634x475

article-2486741-1923388C00000578-492_634x451

article-2486741-1923381500000578-670_634x844

article-2486741-1923384A00000578-337_634x844


article-2486741-192337E200000578-928_634x451
.
article-2486741-192337EF00000578-969_634x475
article-2486741-192337E600000578-766_634x475
.
article-2486741-1923380C00000578-233_634x475 (1)

article-2486741-192337EA00000578-429_634x844

article-2486741-192337F300000578-339_634x475


article-2486741-1923386700000578-170_634x475
Hayaa mambo ya dunia hayo

No comments:

Post a Comment